Use APKPure App
Get Tafuta Mchumba old version APK for Android
Tafuta Mchumba Mke Mume Na Marafiki Na Kuanza Ku Date
App imeundwa mahususi kwa ajili ya kusaidia watu Kutafuta na kupata wachumba
kutoka sehemu mbalimbali, Tanzania ,Kenya ,Uganda Pamoja na Nchi
za jirani Bure kupitia App hii, kwa urahisi kabisa.
Tafadhali Soma Maelekezo
1.Tafadhali jisajili kwa kuandika Majina yako ya kweli.
2.Sehemu iliyo andikwa Description Andika hitaji lako kama vile ,Mchumba,Mke,Mume au Marafiki n.k
3.Upload picha yako ya ukweli katika profile yako. kwani usipo weka picha yako au jina la ukweli Account yako inaweza kufutwa.
4.Unaweza kutafuta Mchumba,Mke,Mme au Rafiki wa Umbali unaotaka wewe kwa kubonyeza sehemu nyeupe iliyo andikwa filter kisha kujaza hapo jinsia,Umbali,Umri n.k kisha uta search.
5.pia kuna Wall Chati ya pamoja ambayo utaweza kusoma story mbalimbali za mapenzi za watu pia kumfungua mtu ulie vutiwa na story yake na kuanza kuchati naye.
ONYO
Hairuhusiwi kumdhalilisha wala kumtukana mtu yoyote ndani ya app hii
ukibainika account yako ina blockiwa
Unatakiwa uweke taarifa za kwako za kweli pamoja na picha yako halisia
usipofanya ivyo umepoteza sifa ya kuwa mwana member hivyo account yako inaweza ku blockiw
Last updated on Jan 21, 2018
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
द्वारा डाली गई
Firdaus Daus
Android ज़रूरी है
Android 4.0.3+
श्रेणी
रिपोर्ट
Tafuta Mchumba
8.0 by SelfMade Technonology
Jan 21, 2018