Use APKPure App
Get SokoniSasa. App old version APK for Android
वज़ालिशजी न वानुंजि
SokoniSasa ni Application (App) inayofanya kazi katika simu za mkononi Smartphone zinazotumia Android.
App hii inawaunganisha wazalishaji wa mazao ya kilimo (Wakulima, Wafugaji na Wavuvi),
wanunuzi wa mazao hayo ya kilimo wasafirishaji wa mazao ya kilimo, wenye maduka ya pembejeo,
Taasisi za fedha, NGO, Vyuo vya Kilimo pamoja na wataalamu wa kilimo katika mikoa yote Tanzania.
Ili makundi haya yaweze kuingia katika mfumo huu taarifa za shughuli zao zinahakikiwa kwa umakini na kuingizwa katika mfumo huu kupitia Mawakala.
App hii inawezasha makundi haya kuwasiliana kwa urahisi popote walipo Tanzania na kuwawezesha kufanya biashara kwa urahisi zaidi.
Wazalishaji kuonyesha mazao yao, bei, mahali walipo, kiasi walichonacho na wanavyoweza kupatikana.
Wanunuzi kuonyesha wapi walipo, kiasi wanachohitaji na bei wanayoweza kununua mazao.
Maduka ya pembembejeo kuonyesha mahali gani walipo aina na bei ya pembejeo walizonazo.
Wataalamu wa kilimo, uvuvi na mifugo kuonyesha utaalamu wanaotoa na mahali wanapopatikana.
Wasafirishaji kuonyesha mahali walipo, gharama wanazotoza na uwezo wa chombo cha usafirishaji.
Taasisi ya fedha na NGO kuonyesha aina za huduma wanazotoa na namna wanavyopatikana.
Last updated on Mar 5, 2021
Toleo la 3
द्वारा डाली गई
Kristina Salazar
Android ज़रूरी है
Android 4.2+
श्रेणी
रिपोर्ट
SokoniSasa. App
3.0 by Marlekano
Mar 7, 2021