Use APKPure App
Get Nyota Njema old version APK for Android
Nyota Njema-Kisima Cha Maarifa (Pata Maarifa Mbalimbali Uboreshe Maisha Yako!!)
Karibu Nyota Njema: Kisima Cha Maarifa Uchote Maarifa Mbalimbali Uboreshe Maisha Yako
Ukiwa na App ya Nyota Njema Utajipatia Mkusanyiko wa mambo yafutayo
1# Mahusiano ,Ndoa na Mapenzi
2# Biashara Kwa ujumla
3# Urembo na Utanashati
4# Afya Bora na Mazoezi
5# Kilimo na Ufugaji
6# Mikasa Riwaya na Simulizi
7# Nasaha Muhimu za Maisha
Na mengine mengii sana utayatapata ukiwa na app yako moja pekee ya Nyota Njema. Karibu Nyota Njema: Kisima Cha Maarifa karibu tung'are pamoja ndani ya Nyota Njema-Kisima Cha Maarifa.
Tujifunze kwa pamoja hakuna anayejua sana ila wote tunahitaj kijifunza ili tuongezee ujuzi na maarifa katika mambo mbali mbali katika maisha na jamii yetu inayotuzunguka. Mwalimu ni mimi na wewe si mwingine zaidi.
Kwa tatizo,Ushauri au Maoni tutumie ujumbe wako kwa Email hii: [email protected]
द्वारा डाली गई
Elias Dos Santos
Android ज़रूरी है
Android 4.4+
श्रेणी
रिपोर्ट
Last updated on Nov 12, 2018
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Nyota Njema
Kisima Cha Maarifa1.0 by Smart Daddy Inc
Nov 12, 2018