Use APKPure App
Get Jifunze Herufi old version APK for Android
Fahamu Jinsi फिर Herufi kuandika na Kusoma
App hii itamuwezesha mtoto kujifunza kwa wepesi zaidi na kujua herufi kwa haraka. Mtoto atafundishwa kwa sauti na kwa vitendo kufuatisha jinsi ya kuandika herufi na kutamka.
Faida za App hii Kwa mtoto
★ Kujifunza Kusoma
★ Kujifunza kuandika
★ kuongeza uwezo wa akili ya mtoto
★ Kutumia Application hii ni bure
Uwezo na Yaliyomo
❖ Mafunzo kwa sauti
❖ Mafunzo kwa Michoro
❖ Maelezo kwa Picha
Umuhuhimu wa game hii Kwa Afya ya Akili
Ni rahisi zaidi watoto kujifunza kupitia michezo, tumia game hii kunoa na kuongeza Afya ya akili ya mwanao
Angalizo
► Application hii ina matangazo
► Ni Mchezo wa ki masomo - kujifunza kusoma na kuandika
► Mzazi - Muongozo wako unaweza kuhitajika wakati wa kutumia
द्वारा डाली गई
نێچیروان خۆشناو
Android ज़रूरी है
Android 2.3.4+
श्रेणी
रिपोर्ट
Last updated on Sep 18, 2017
Improved Graphics
Jifunze Herufi
ABC - Kusoma na Kuandika1.1 by BizyCiti
Sep 18, 2017